BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,908
- 9,041
GhazwatHongera kwa kukita kambi
MmmhhAsante ndiyo mwendo wenyewe
Wap hapo nije fastaKaribuni msosi wadogo zangu ninyi!?
Sisi tunakula like tu....Wewe!!
Pata.Nimetumwa likes hapa...
Hahahahahahaha
KabisaaHaina taarifa hiyo
Asante na wewe chukua hiyoKula Like zako Dada. Nina hasira leo. Nipo Fire kama nyimbo ya Diamond
Diamond anajua sana ku support Vijana wenzake.
Ukiona Boss anakufungia viatu namna hiyo. Jua amekupa Heshima kubwa.
Twakuaminia jembe letuMaana nimetumwa na wanauzi wa humu kugonga likes kwa kila post
Nimeona Like yako Ndugu. Kula yangu pia.[emoji1] [emoji1] [emoji1] mngevunjana vidole vya kutwangia like
Leo sichokiUsichoke, leo ndiyo leo
Kama ilivyoandikwa mkuu,carba.ma.ze.pi.neNatafuta namna ya kuitamka vizuri ID yako... Msaada pls