Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

acbc0d0c388c5afefb8ef6bf3d281f91.jpg
 
Zizi lililojengwa kwa miche ya mchicha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niacheni mie ....
Hata kama ni zizi dhahnia, hukuwa na haki ya kulivunja. Nawe utavunjiwa tu kwa sababu malipo ni hapa hapa duniani [emoji3][emoji3][emoji3]
 
BETIS YAANDAA DAU KUMSAJILI WILSHERE


Real Betis wanajipanga kufanya jaribio jingine kumsajili Jack Wilshere, kwa mujibu wa The Sun .
Kiungo huyo wa Argentina alikataa kujiunga na klabu hiyo ya Hispania msimu uliopita ili aendelee kubaki London Kaskazini. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 25 amerejea kibaruani baada ya kupona majeraha yake, lakini bado hajapata nafasi kikosi cha kwanza.
WILSHERE AONDOKE TU..
 
Back
Top Bottom