Umefanya vema, mjurishe SHIMBA YA BUYENZE, ajue,ili nikiingia huko na ng'ombe asishangaeUpo wapi na mimi? Nilisha achana na maumivu ya mapenzi
Mmh, Marekani kuna nini huko?
Carba aliwahi kusema kuwa eti moyo uachwe tu. Hata kama ukitaka kusukuma chapati usukume...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na wala si vingine[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu kila mtu ana bunduki. Hapa nilipofikia kuna maduka mawili ya kuuza bunduki za kila aina. Yaani unakwenda tu na kitambulisho chako blah blah unaondoka na machine gun. Hata hawaangalii kama kidogo kichwani dishi limeyumba ama la. Sasa hapo unategemea nini?Mmh, Marekani kuna nini huko?
MAGAZIJUTO....5⅔×1⅜+(2²÷6)=?
Huyu Mnyakyusa mi keshanishinda. We kama Nsamaka kakubali we oa tu kwa kweli. Aaaaargh!!!Umefanya vema, mjurishe SHIMBA YA BUYENZE, ajue,ili nikiingia huko na ng'ombe asishangae
Hapa ni kuwa macho. Mpare yeye sijui anatumia mbinu gani kuhakikisha zizi lake haliguswi. Vitisho na kuwateka wazengeaji navyo likely vinasaidia...Hata wewe naona ulishindwa mpaka ukaamua kuhamishia majeshi kwa Nsamaka...Anavunja zizi ati kwa kuwa Cole naye analinyatia zizi la bro wake SHIMBA. hapa ni shidaaaa mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mwambie. Paraboz za Cole zimehamia kwa "mate". Terriboooo !!!Umemfanya Cole aanze kuhangaika na "mate" wake jakitoo . wewe ni mtu mbaya sana
Tatizo nsamaka ameng'ang'ania kubakia Tukuyu ingawa Andjul kesha mwagaHuyu Mnyakyusa mi keshanishinda. We kama Nsamaka kakubali we oa tu kwa kweli. Aaaaargh!!!