Mkuu kutokana na hali ya mambo ilivyo unalazimika kumiliki AK47 yako ili kujihami. Hapo kimeshanukaKaribu kila mtu ana bunduki. Hapa nilipofikia kuna maduka mawili ya kuuza bunduki za kila aina. Yaani unakwenda tu na kitambulisho chako blah blah unaondoka na machine gun. Hata hawaangalii kama kidogo kichwani dishi limeyumba ama la. Sasa hapo unategemea nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ni kweli,mwanamke mzuri ni kama daladala,kila abiria anaikimbilia
Mkuu habari yakoMkuu pole Na kipigo cha jana
Hata uwe na AK 47 maelfu ukishtukizwa unauliwa tu. Navy Seals na Green Berets na mazagazaga yao yote wanaviziwa na mataliban na Boko Haram wakiwa kwenye ngamia wanauliwa sembuse huku mabarabarani?Mkuu kutokana na hali ya mambo ilivyo unalazimika kumiliki AK47 yako ili kujihami. Hapo kimeshanuka
Kupiga chabo ndiyo habari mjini[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kupiga chabo geto Zilipendwa.
Kozi,Kupiga chabo geto Zilipendwa.
Wanauza nini hao?Wanataka money ukilipa unakwarua
Kimeshanuka wapi? Mambo ya kawaida tu haya hapa Marekani. Wenyewe inaonekana wameshazoea.Mkuu kutokana na hali ya mambo ilivyo unalazimika kumiliki AK47 yako ili kujihami. Hapo kimeshanuka
18:5016:45
Karibu utangaze mambo yangu mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]Usipende kutangaza ya wenzako Yako unayafukia
Kumbe unaimba taatabu[emoji3] [emoji3]Unapopenda kusema ya wenzako kwamba hawajatimia, sio vizuri mlimwengu kwanza yatizame Yako Ndio uaze kukosoa
Muangalie, ndiyo umeachwa hivyo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nakuangalia tu ujue.
Siku za hivi karibuni Andjul hashikiki kwa carbamazepine, mpaka Cole amechanganyikiwaJamaniiii !!!
Unafikiri Cole akiona hivi anajisikiaje? Humhurumii anapoimba paraboz?