Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anavunja zizi ati kwa kuwa Cole naye analinyatia zizi la bro wake SHIMBA. hapa ni shidaaaa mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hapa ni kuwa macho. Mpare yeye sijui anatumia mbinu gani kuhakikisha zizi lake haliguswi. Vitisho na kuwateka wazengeaji navyo likely vinasaidia...Hata wewe naona ulishindwa mpaka ukaamua kuhamishia majeshi kwa Nsamaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…