Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pumu (Asthma)
Ulaji wa chumvi nyingi hakusababishi pumu, lakini baadhi ya utafiti umeonyesha kwamba inaweza kuchochea dalili.

Kama mtoto wakoinakabiliwa napumu,kupunguzaulaji wa chumvi kunaweza kuwa na manufaa.
 
Ugonjwa wa Kisukari


Mojawapo ya magonjwa hatari yanayoua sasa hivi ni kisukari.

Kisukari kimekuwa ni tatizo kubwa. Angalau katika kila familia kuna mgonjwa mmoja wa kisukari na idadi inaongezeka kila siku.
 
Chumvi inaweza kuongeza hatari ya kupatwa na ugonjwa wa kisukari kwa kuongeza shinikizo la damu.

Watu ambao tayari wanaugonjwa wa kisukari unawezapia kufaidika nakula chumvikidogoili kuweka shinikizo la damu chini.
 
Kupunguza Matumizi ya Chumvi na Madhara ya Kula Chumvi Nyingi:
Anza kujenga tabia ya kula chumvi kidogo, usiweke chumvi mezani. Punguza kiasi cha chumvi unayoweka katika chakula chako kidogokidogo mpaka utakapozoea.

Mwili wa binadamu unajifunza mambo kwa mazoea. Ukiweka tabia ya kula chumvi kidogo baada ya miezi kadhaa utafanikiwa na utakuwa umejiepusha na madhara ya kula chumvi nyingi.
 
Saratani ni mojawapo ya magonjwa hatari ambayo yanaua watu wengi kote duniani na tiba yake ni ngumu sana.
Wachache sana wanaopata ugonjwa huu hufa. Wale wanaowahi matibabu ugonjwa unapokuwa katika hatua za mwanzo walio wengi hupona na kuokoa maisha yao.
 
Seli hizo za saratani huweza kusambaa mwilini kwa nyia ya damu au limfu( kwa kiiengereza (lymph). Saratani hutokea sehemu mbalimbali mwilini kama kwenye matiti,koo,kinywa,shingo ya kizazi ya kina mama,ovari,tezi dume na katika ngozi.
 
Makundi Mawili ya Saratani
Saratani imegawanyika katika makundi wawili kutokana na sababu zake

1. Ya kurithi kutokana na ukoo
2. Ya kimazingira
Sababu kubwa zinazosababisha saratani ni zile za kimazingira kuliko urithi wa vinasaba.
 
Makundi Mawili ya Saratani
Saratani imegawanyika katika makundi wawili kutokana na sababu zake

1. Ya kurithi kutokana na ukoo
2. Ya kimazingira
Sababu kubwa zinazosababisha saratani ni zile za kimazingira kuliko urithi wa vinasaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…