Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2768.jpg
 
Sijaamka bado, nimeota jindoto hilooo[emoji22] [emoji22]
Ngoja nirudi kulala
Pole babe...

Ningekuwa najua paraboz kama za mate wako ningekushushia moja. Tatizo mi mshamba
...

Kama alivyowahi kushauri Numbisa hapa, kama kuna rozali na Biblia hapo karibu piga sala kidogo halafu uviweke hapo kitandani. Kisha rudi uuchape usingizi laiiini na mtamu...
 
Back
Top Bottom