Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hiyo ni future ndege itakayokuwa na kaswimming pool kwa juu! Lini itakuwa launched, who knows! [emoji23][emoji23]
Ni mwaka jana nadhani. Huyo tall ni Deonte Wilder. Ana vinokauti kadhaa vya kuvutia. Kulikuwa na tetesi mwaka huu kuwa pengine atazipiga na Joshua wa UK...Ili pambano lilikua lini..? Huyo jamaa sio mbaya aka retire
Ngada jamaniiii...Dah !!!RIP Whitney, Beautiful couple.
![]()
Sasa kutapatikana hewa ya kutosha kweli huko juu
Those good ole days...The WH now is run like a bazaar [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Brotherly Love, I wish you were still in office.
![]()