Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mama....
32b97ddd83a3943503f3e76dd1e64c18.jpg
 
Juzi kati hapa kuna picha moja niliiona jamaa yuko theatre kapiga picha na mgonjwa anaonekana.
Kile kiapo siku hizo hakifanyi kazi,watu hawana weledi wala maadili ya kazi hayafuatwi yaani siku hizi selfies na wagonjwa inaanza kuwa kitu cha kawaida,so sad!

Ni mbaya sana aiseee! Huku kwa wenzetu unawasue, wanakuwa penalized vibaya!
 
Muwe na siku njema iliyobarikiwa
[emoji112] [emoji112] [emoji42] [emoji42] [emoji124] [emoji124]
Na wewe shemeji. Mungu na Akaguse mikono yako leo na ye yote utakayemgusa leo na akapate miujiza ya Mungu na kupona. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom