Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
That's true friendship
Hii ni aina gani ya pajama inavaliwa na mchuchumio
Mtoko huo mkuu. Pajama tena?Hii ni aina gani ya pajama inavaliwa na mchuchumio
Aisee kama likiwepo hilo pambano litakuwa si la mchezoNi mwaka jana nadhani. Huyo tall ni Deonte Wilder. Ana vinokauti kadhaa vya kuvutia. Kulikuwa na tetesi mwaka huu kuwa pengine atazipiga na Joshua wa UK...
Urafiki mwingi ni wa kuoneana wivu tu...Ukipata rafiki wa kweli siku hizi shukuru Mungu !!!That's true friendship
Boxing inaharibiwa na rushwa. Kuanzia majaji, refa na hata wapiganaji wenyewe. It is one of the most corrupt sports out there...Aisee kama likiwepo hilo pambano litakuwa si la mchezo