Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Walikuwa wanajaribu kwenda Ulaya ama? Nigeria - muuza mafuta nambari wani Afrika na utajiri mwingine kibao, lakini pia kinara wa ufisadi duniani...
Wanawake hao, ambapo mdogo zaidi kwa umri anaaminika kuwa wa miaka 14, walikuwa wakijaribu kuvuka bahari ya Mediterranean kutokea Libya ili kuingia Bara Ulaya.

Haijabainika mara moja kiini kilichosababisha wanawake wengi kiasi hicho kufa kwa wakati mmoja, kwani kulikuwepo pia na wanaume kwenye meli iliyokuwa ikiwasafirisha.

Kuna shaka kuwa, huenda walibakwa na kisha kuuwawa, walipokuwa wakivuka kupitia njia hiyo hatari ya bahari ya Mediterranean.
 
Dunia hii masikini...
 
Back
Top Bottom