moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Chuki za kidini zitapelekea vita kwa mataifa haya ya kiislam
Chuki za kidini zitapelekea vita kwa mataifa haya ya kiislam
amefutwa na kampuni yake binafsi.....Hakuna demokrasia isiyo na mipaka. Tena wakati wa Trump huu mhhh...
Naijeria nchi yenye watu wajiitao manabii wengi ila uchawi nje nje nchi inaongozaNigeria ni nchi inayosikitisha sana, Nadhani tuna tatizo kubwa sisi waafrika.!
Hata sijui ni kwa nini jamani. Kwa nini hatuwezi kuendesha nchi zetu kama watu wengine? Kwa nini ufisadi huu wa kupindukia? Yote haya ni sababu ya kutawaliwa na mifumo mibaya ya kiuchumi duniani?Nigeria ni nchi inayosikitisha sana, Nadhani tuna tatizo kubwa sisi waafrika.!
Nnadhan wanagombania kuwa na sauti kwwnye masuala ya kidiniChuki za kidini zitapelekea vita kwa mataifa haya ya kiislam
Mke ndio kashawish jamaa atimuliwe ili yeye apate nafasi ya umakamu wa raisi na nafas ya ugombea urais. Jamaa alikua kikwazo kwa mugabe familyWakizubaa tu mke naye atataka mpaka afiemo. Kazi kweli kweli...
Najua jirani. Najua !!!amefutwa na kampuni yake binafsi.....
Washia vs. WasuniNnadhan wanagombania kuwa na sauti kwwnye masuala ya kidini