Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Washia wameonyesha kujitambua kimataifa, Sunni wakiongozwa na Said Arabia hawataki iwe hivyo. Utawala wa kifalme wa Saudia una mashaka huenda yaliyompata mfalme Shah yanaweza kuwapata kwa ushawishi wa Washia. Tatizo linaanzia hapoNnadhan wanagombania kuwa na sauti kwwnye masuala ya kidini
hawapatani kabisaWashia vs. Wasuni
kweli..Washia wameonyesha kujitambua kimataifa, Sunni wakiongozwa na Said Arabia hawataki iwe hivyo. Utawala wa kifalme wa Saudia una mashaka huenda yaliyompata mfalme Shah yanaweza kuwapata kwa ushawishi wa Washia. Tatizo linaanzia hapo
Yoga + meditation = mens sana incopore sano (healthy mind in a healthy body)....
Akifika 250 itakuwa balaaaEndelea hivyo hivyo mpaka ugonge 250 lbs....
![]()
Mkuu hii ya 2017 haonekani vema. Niliziona hizo mahali zikiwa zimeishia 2016. Nina shauku kujua afya ya huyu mwenzetuMungu ni Mwema [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
![]()
Wamekushangaa sana leo*Hivi nani Alianzishaga Mfumo wa kula Chapati mbili? Maana ukiagiza Tatu kila mtu anakugeukia* [emoji3]
Umejifunza lini kula chapati? Chapati unakula hata kumi kwa wakati mmoja. Usiendeshe maisha yako kwa kuangalia watu wanatakaje, fanya utakavyo bila kujali jamii inasema nini juu yako*Hivi nani Alianzishaga Mfumo wa kula Chapati mbili? Maana ukiagiza Tatu kila mtu anakugeukia* [emoji3]
Niliona mwenyewe kaweka hii. Nadhani keshapona kabisa....Mkuu hii ya 2017 haonekani vema. Niliziona hizo mahali zikiwa zimeishia 2016. Nina shauku kujua afya ya huyu mwenzetu
Kijijini kule mtu unakata chapati hata 30 yeye anaongelea vichapati viwili.Umejifunza lini kula chapati? Chapati unakula hata kumi kwa wakati mmoja. Usiendeshe maisha yako kwa kuangalia watu wanatakaje, fanya utakavyo bila kujali jamii inasema nini juu yako