Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nimekuwa verifiedMkuu, ni wewe huyu? Umebadili ID ama?
Lile somo la milonge ingebidi uliwekee disclaimer Dr. Watu wachunguze kwanza mioyo yao. Wanadanganyana vijiweni huko kuhusu mikuyati, vumbi la Kongo na mengineyo ili watoe show za kibabe. Hitilafu kidogo tu kwenye moyo matokeo yake ndo haya sasa. RIP kijana msomi !!!