Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wachache mno wenye uvumilivu wa kutumia dawa kwa wiki moja au mbili ili kupata matokea bora. Mtu yupo tayari kujitibu njia ya mkato kwa matokeo ya siku mojaLile somo la milonge ingebidi uliwekee disclaimer Dr. Watu wachunguze kwanza mioyo yao. Wanadanganyana vijiweni huko kuhusu mikuyati, vumbi la Kongo na mengineyo ili watoe show za kibabe. Hitilafu kidogo tu kwenye moyo matokeo yake ndo haya sasa. RIP kijana msomi !!!