Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siyo hivyo tu bali pia kuchanganya madesa kunahusika. Mtu anatumia sijui mkuyati. Hapo hapo anaweka na Red Bull halafu anakonkuludi na jibapa. Hapo unategemea nini? Viagra yenyewe sasa wameanza kuitolea maonyo makali kuhusu kuhakikisha kwanza afya ya mioyo ya watumiaji na kutochanganya na vilevi na visisimua mwili kama kahawa na Red Bull. Mtu unazimika ghafla na show ya kibabe unaikosa. But again, pengine ndo kufa kishujaa....
Na hapo unakuta ana nguvu zake kamili ila kutaka kuonekana mbabe au kumkomesha mwanamke kwa story za vijiweni anaaamua kuyabuagia ili aweke historia
 
Na hapo unakuta ana nguvu zake kamili ila kutaka kuonekana mbabe au kumkomesha mwanamke kwa story za vijiweni anaaamua kuyabuagia ili aweke historia
Na wanawake wanakomesheka basi? Pengine ukibahatisha bikra[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️. Na yeye ni kwa nini umkomeshe? Mtu anakwenda amejiandaa utafikiri anakwenda vitani....
 
74043ac69ed76641ae12fddf139e7a3a.jpg
 
Chelsea Vs Man U. Man U couldn't just win i mean Man U's best striker is Lukaku who is a former Chelsea striker. Their winger Mata is ex-Chelsea player. Their in-form middle Matic ex-Chelsea player. Their coach too Mourinho an ex-Chelsea. Practically it was Chelsea A against Chelsea B[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Homa ya Ini ni nini?

Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa homa ya ini ama kama inavyojulikana kitaalamu hepatitis B, ni ugonjwa unaotokana na virusi. Hivi uvimbe katika ini ambao baadaye huwa ni chanzo cha saratani ya ini. Saratani hii haina tiba mwafaka.
 
Back
Top Bottom