Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila shemeji wapenda kudai mahari wewe khaa!
Ila ni kweli aisee. Kuna wakati nilikuwa nadai watu wanne na wote wananipiga chenga. Nilishiriki kikamilifu katika masuala ya mahari wakati dada zangu wanaolewa. Nadhani imeniathiri kwa namna moja ama nyingine. Napenda mahari balaa japo sina uhakika kama mi nitatoa...

Kimila hatuwezi kukudai mahari wewe. Tutahangaishana na wazee. Na kama umebakia kwenye ukoo hapo mambo yote salama. Hudaiwi kitu [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Visiwe kwenye maeneo ambayo hayajasajiliwa na TFDA. Usinunue vipodozi vilivyomwagwa na kuuziwa chini. Havina uhakika wa kuwa halisi, bora na salama.

Hakikisha unanunua vipodozi kutoka kwenye duka ambalo limesajiliwa na TFDA.



Hivyo ndivyo vipodozi vizuri. Hakikisha mara zote unatumia vipodozi vizuri, vinginevyo hautapata matokeo mazuri na unaweza ukapata madhara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…