Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niko siriazi mkuu, mwambie hata dini niko tayari kubadili. Nitasoma juzuu zote 36! Namagondo wala usipate shida, tutakukaribisha uje ututembelee! [emoji23][emoji23]
Nimwambie? Mwambie wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. PM yake kwani imefungwa?

Namagondo nitafika kama ningali mzima. Rosa Mistika ya Kezilahabi ilinibamba balaa.

Mida ya wanga hii nawapeleka Rwanda [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Wote wametumika kisiasa. Hawaangalii mbele na kuona umbali mrefu zaidi ya matumbo yao. Wajinga !!!
Hawa jamaa kama wangetoka ile mikoa inayosifika kwa ukabila ungeshangaa moto wake, lakini inashangaza. Hat hivyo siyo mbaya, maana hawafungamani na ukabila, kila mmoja yupo huru kufanya kwa maslahi ya taifa kama anavyoona mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…