Mkuu hizi zitakuwa ni figisu figisu kumuhusu Yego[emoji3] [emoji3] nadhani kila mmoja ana haki ya kutupa ndoano baharini atakaevua ndiye mshindiHata copy yake sijui iko wapi. Tungejaribu angalau kuangalia legal loopholes tujue la kufanya. Hii kushusha paraboz tu sijui kama inasaidia hii.
Na ukituthibitishia kuwa umekuwa wifed na Andjul basi itakuwa siyo mbaya sana. Utakuwa umebakia kwenye ukoo. Kimbembe ni pale utakapoamua kwenda huko sijui Nansio sijui wapi. Hapo itakuwa patashika nguo kuchanika aisee...
Siyo yeye tu, tupo wengi sana hapa tunaopenda mchezo huo. Ruta anatoa huduma ya soka hapa kijijini kama wengine wanavyo hudumu kwenye maeneo yaoUnapenda sana soccer eeh?
Mwaga utamu mkuu tupo nyuma yako
Naheshimu mawazo yako mkuu....Mkuu hizi zitakuwa ni figisu figisu kumuhusu Yego[emoji3] [emoji3] nadhani kila mmoja ana haki ya kutupa ndoano baharini atakaevua ndiye mshindi
Mkuu hizi zitakuwa ni figisu figisu kumuhusu Yego[emoji3] [emoji3] nadhani kila mmoja ana haki ya kutupa ndoano baharini atakaevua ndiye mshindi
Hauko siriazi mkuu. Unless kama kuna andagraundi muvumenti unaendelea nayo....Yaani huyo kwa figisu figisu ni hatari! [emoji1][emoji1]
Hahaha, anataka dadangu arudi Tukuyu, tena kijiji kile kile. Andaeitini nakuaminia pigana vikumbo ubebe mwana chapa ya Dar[emoji3] [emoji3] [emoji3]Yaani huyo kwa figisu figisu ni hatari! [emoji1][emoji1]
Mkoromije kwenye ubora wake[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ze profeti...![]()
Dada, jamboEwaaaaaa[emoji23] [emoji23]
Huu uzi unaitwa tembea uone[emoji125] [emoji125] [emoji125]Huu uzi bado upo active tu😱
Ametuletea umashuhuri sana hapa kijijini !!!Mkoromije kwenye ubora wake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hauko siriazi mkuu. Unless kama kuna andagraundi muvumenti unaendelea nayo....
Sina ugomvi na Wakerewe kabisa na nina hamu sana ya kutembelea Nyamagondo. Hizi figisu figisu hizi kufurahisha baraza tu....
Hahaha, anataka dadangu arudi Tukuyu, tena kijiji kile kile. Andaeitini nakuaminia pigana vikumbo ubebe mwana chapa ya Dar[emoji3] [emoji3] [emoji3]