Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
DAWA ZA KUONDOA MADOADOA NA MAKOVU
Kuna dawa, vipodozi na njia nyingi za kitaalam za kuondoa madoadoa na makovu. Wakati wa kutafuta au kuchagua zingatia bei na usalama kwani kuna vipodozi vingi sana vya kufanya kazi hii lakini sio salama hata kidogo. Pia kuna vya bei kubwa sana ambayo itakufanya ushindwe kumalizia, kwa nini upate shida wakati kuna vya bei nafuu na vinatibu vizuri?