carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari hiiShemeji kipenzi. Unaona sasa? Watu wako tayari hata kubadili dini. Ni shida!
Nilisoma Kiarabu miaka miwili kikanishinda. Kwa sasa nimebakiza kuwasikiliza akina Shekhe kipozeo wakikitafuna sawasawa. Qurani ninayo. Nasomaga...
[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]Shemeji kipenzi. Unaona sasa? Watu wako tayari hata kubadili dini. Ni shida!
Nilisoma Kiarabu miaka miwili kikanishinda. Kwa sasa nimebakiza kuwasikiliza akina Shekhe kipozeo wakikitafuna sawasawa. Qurani ninayo. Nasomaga...
Me hata sijui kama iko wazi ama lah!Ananituma mimi eti. Imagine that....
Kwani PM yako imefungwa au bado iko wazi shemeji?
Ulikuwa unatafutwa hapa. Mara paaa hiiihi[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nipo nipo nimekuja kuwasalimu
Ohoooooo!usije pata heart attack bure,acha nisepe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hapana, yaani limeongeza kasi imebidi nilale chini kupumzika! [emoji1][emoji1]
Ab e....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naaam...[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na nani tena?Ulikuwa unatafutwa hapa. Mara paaa hiiihi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua kujifariji ujueEwaa, mambo yanaanza kuwa mazuri! Pamoja na kwamba huo muitikio uko nusu! Mambo? [emoji1][emoji1]
Hahahaha[emoji3] [emoji3] nasubiri nisome mashairi tu hapaAnanituma mimi eti. Imagine that....
Kwani PM yako imefungwa au bado iko wazi shemeji?
Ohoooooo!usije pata heart attack bure,acha nisepe[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata Osama. Na Mobutu. Na wengine wengi. Ngoja siku moja itokee hizi renewable energy (solar, wind, lithium, hydro, geothermal...) zifanikiwe mpaka kufifisha umuhimu wa mafuta ndiyo watajua Mmarekani ni mtu wa aina gani...Inashangaza, hawataki kujifunza kwa Saddam Hussein alipokubali kutumika dhidi Iran, alimwaga damu ya Wairan na Waraq maelfu ya lita, mwishowe ikamwagwa damu yake na sinema ikaishia hapo
Hahahaha, mkuu hata wewe. Kwani hukuwahi kumsoma Amir AndanengaHapana, yaani limeongeza kasi imebidi nilale chini kupumzika! [emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] baadae[emoji112] [emoji112]Usiondoke bhana. Mapigo ya moyo yameanza kuwa fresh! [emoji23]
Yego. Kama nakuona. Na tutoto twako twa mamba hapo kwenye bilauri. Mnatweta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana, yaani limeongeza kasi imebidi nilale chini kupumzika! [emoji1][emoji1]
Utamuona tu, vumilia kuwepo hapa angalau nusu saa tuNa nani tena?
Yego. Kama nakuona. Na tutoto twako twa mamba hapo kwenye bilauri. Mnatweta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha[emoji3] [emoji3] unaua[emoji23] [emoji23] [emoji23] unajua kujifariji ujue
Safi tu za wewe
Ndo anataka kutest zali. Sasa imebidi ajilaze chini moyo waenda mbio. Ngoja tusubiri mapigo ya moyo yakirudi kwenye hali ya kawaida. Bila shaka ataleta mrejesho kama PM iko locked ama la !!!Me hata sijui kama iko wazi ama lah!
Kwani kasema iko wazi au imefungwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yegooooooo !!!!!!!Usiondoke bhana. Mapigo ya moyo yameanza kuwa fresh! [emoji23]
Jonas Savimbi nkHata Osama. Na Mobutu. Na wengine wengi. Ngoja siku moja itokee hizi renewable energy (solar, wind, lithium, hydro, geothermal...) zifanikiwe mpaka kufifisha umuhimu wa mafuta ndiyo watajua Mmarekani ni mtu wa aina gani...