Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

0a6708fde38185f0a6457537ceb056cc.jpg
 
TUMIA VIAZI VITAMU KUTIBU NYWELE ZAKO

Ni kama kichekesho, lakini ukweli ndo huu. Kama una tatizo la nywele kavu na ngumu au unataka kuzuia tatizo hilo basi unaweza kutumia viazi vitamu na kuwa na nywele laini na zenye unyevu wa kutosha.
 
Viazi vitamu ni chakula kizuri sana kwa nywele kwa sababu vina kiasi kikubwa cha virutubisho aina ya “Beta Carotene” ambayo ndiyo hutengeneza vitamini A. Hiyo Vitamini A ndiyo husaidia kutunza nywele zako na kuzifanya zisiwe kavu wala ngumu.
 
Madoadoa na makovu hutokea wakati wa kupona kwa vidonda vitokanavyo na majeraha katika ngozi, kupasua vipele na chunusi. Ni utaratibu wa kawaida wa mwili kutengeneza seli mpya na vitu vingine vitakavyosaidia kukarabati sehemu ya mwili itakayopata majeraha. Ni kama sisi binadamu tunavyofanya kuziba viraka na viraka kuwa tofauti kidogo na sehemu zingine. Madoadoa na makovu hutofautiana rangi, ukubwa na kiasi gani yameingia ndani ya ngozi.
 
Back
Top Bottom