Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nsamaka anadai ndoa yake ipo salama na jana tu alikuwa Tukuyu kwa Andjul. Ni kama sinema la Kikorea bila subtitles...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sinema ya kikorea niliacha kuangalia baada ya kugundua natumia muda mwingi kusoma kuliko kuangalia tukio lenyewe...
 
Jana Carba alifanya hilo kosa. Alikaitikia kaYego Ab..e..eee...ile ya kurembua halafu akajifanya kuishia njiani na kuitikia naaam. Too late. KaYego chali out cold...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Huu uzi ni kiboko! kaYego kakafurukuta chini? [emoji15][emoji1][emoji1]
 
Hakika mkuu.Uzi huu kwa sisi watumiaji wa mambo yetu,umetupunguzia sana ghalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…