Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chipsi ni miongoni mwa vyakula vinavyopendwa na watu wengi sana duniani. Wanawake, wanaume, wazee na watoto wote hupenda chipsi. Ndo chakula ambacho hata mtu aumwe vipi hawezi kushindwa kula moja kwa moja.

Unapenda kula chipsi? Nini faida na hasara zake?
 
Kama kuna aliyekwazika na utani wa leo samehe 7×70
Mbarikiwe na muwe na usiku/siku njema
[emoji8] [emoji8] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Na mimi nilitaka kusema hivyo. What happens in Vegas stays in Vegas. Utani wetu hapa kamwe usimkwaze mtu; na kama umekwazika unasema. Na kama hutaki utani pia unasema. Asante Carba for everything....
 
Back
Top Bottom