HASARA ZA CHIPSI
Zina kiasi kikubwa cha wanga, hivyo husababisha kujaa kwa wanga mwilini na kuweza kusababisha au kuongeza uzito na unene, uzito uliopitiliza, kisukari, presha, magonjwa ya moyo nk
Sisi tunapata elimu..ila Mungu atakulipa zaidi..Nina uhakika kuna wataokoa maisha au fedha kwa hii elimu..Wagonjwa, watoto na wajawazito wana  mahitaji makubwa zaidi ya protini.
Mjengezi wa kitoo[emoji3] [emoji3]Dadako "Mjengezi". Bila yeye uzi huu ungekuwa veeeeere boooooaringi....