RONALDO HAMTAKI KANE MADRID
Cristiano Ronaldo hayupo tayari kugawana umaarufu Real Madrid na nyota wa Tottenham, Harry Kane, kwa mujibu wa mchambuzi wa Sky Sports News Guillem Balague ( kupitia the Daily Star ).
Kane ameibuka kuwa shabaha ya miamba hao wa La Liga wanaohaha kutafuta kiwango chao cha msimu uliopita.
Dah! hapo hakuna ijumaa njema!.
Kuna wale ambao wana ugonjwa wa BLOOD CLOTTING ambao mara nyingi hushauriwa watumie asprin ili kisaidia kuyeyusha damu sasa hawa wao ikoje ikoje maana kuna wengine wameambiwa watumie kwa muda wao wote wa maisha ulobakia?endapo itatumika dozi ndogo au ya wastani na kwa muda mfupi.
Kwa wengine uji au mtori wa motooo!asubuhi ya chai