Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MAMBO YANAYOSHAURIWA KUFANYA

Ikitokea umetumia dawa na ukapata athari ambazo hazikupendezi cha kwanza kabisa jitahidi kuwa mvumilivu na kuangalia kama ni za muda mfupi au za muda mrefu.
 
Anaweza akakusaidia kitu cha kuondoa athari hizo au kukubadilishia dawa na utatumia tena bila matatizo na kupona vizuri. Usiache kutumia dawa bila kutoa taarifa kwa daktari na mfamasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…