Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niko na ndugu Oni Sigala mjuzi wa kiswahili tukiangalia maana ya neno wowowo!
Oni Sigala;-"Wowowo si neno rasmi la lugha ya kiswahili ila huwa linatumika kuwakilisha maungo ya kukalia hasa kwa wanawake tena yaliyo makubwa hadi kupoteza umakini kwa wanaume."
Mpenda arage;-Kwahiyo wowowo ni maungo ya wanawake yaliyo makubwa zaidi?"
Oni Sigala;-Ndio ndugu mpenda arage!
Mpenda arage;-Asante sana ndugu Oni Sigala, mimi ni Mwanagenzi wako mpenda arage tukiendelea kukichambua kiswahili."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…