Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mwanamke MIMBA
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Yaan hapo hapo kwenye kuandamwa na malipo ya hapa duniani apasome jakitoo,mana ndo mhusika nambari wani wa kuvunja ndoa yangu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Eee basi, litakalo kuwa na liwe....Wewe hufai hata kuwa karibu na mashemeji zako wewe. Kwa uliyomfanyia shemeji yako - kumharibia ndoa yake halafu ukamtosa wakati anajiandaa kuhamia Tukuyu. Hili litakuandama. Malipo ni hapa hapa duniani...