Nashangaa limzigo natwishwa mimi,sikuwepo,"mate" nimekuta inatumika.Yaan hapo hapo kwenye kuandamwa na malipo ya hapa duniani apasome jakitoo,mana ndo mhusika nambari wani wa kuvunja ndoa yangu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mweee[emoji134] [emoji134]Unanihangaisha......
[emoji87] [emoji87] [emoji137] [emoji137] [emoji137]Gudi naiti[emoji23]
[emoji3] [emoji3]Safi tu za wewe
Nimesikia nikiwepo humu busara zinakimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Me hata sielewi mana me mwenyewe ni victim humu[emoji24] [emoji24] [emoji24]Nashangaa limzigo natwishwa mimi,sikuwepo,"mate" nimekuta inatumika.
Picha nimekuta imebanduliwa pale
Ubaya wangu ni upi?
Mkuu babaWAKUU WAKUU
Siyo wewe. Ni mwanaukoo mwenzetuOhooooo isijekuwa ndo mimi bure....