Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-10-22-04-11.png
 
Tumia kiasi kidogo tu cha chumvi, sukari na mafuta. Usiongeze chumvi kwenye vyakula, mboga, vinywaji na vitu vingine ambavyo tayari vina chumvi au sukari au mafuta. Jua kwamba chumvi nyingi, sukari nyingi na mafuta mengi ni hatari kwa afya yako. Ni sumu zinazoua taratibu.
 
Back
Top Bottom