Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mzee wa mtama amepwaya kabisa!Goli la mkono kama la Nape [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alipoteza uwaziri wake kwa sababu za kijinga tu. Kumbe na ujasiri wa akina Nyarandu hana. Matokeo yake kabakia kulia lia tu. Na laana ya bao la mkono haitamuacha !!!Mzee wa mtama amepwaya kabisa!
Hiki kitu cha Guangzhou kabisa! Kibamia hapa hakina chake maskini.
Anahofia kupauka! Hana ujasiri wa kula bwasi maana kiuchumi naona bado anasimamia mguu mmoja!Alipoteza uwaziri wake kwa sababu za kijinga tu. Kumbe na ujasiri wa akina Nyarandu hana. Matokeo yake kabakia kulia lia tu. Na laana ya bao la mkono haitamuacha !!!