mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Kosa la marehemu
Kiuchumi naamini atakuwa sawa. Shida mojawapo ya hawa waheshimiwa ni mikopo na madeni. Wanakopa mabilinoni ili kujenga majumba ya kifahari kujionyesha. Na wakati huu wa ngosha njia nyingi za upigaji zimezibwa. Kama mtu ulikuwa umekopa mabilioni wakati wa JK kwa sasa inaweza kidogo ikakuletea matatizo.Anahofia kupauka! Hana ujasiri wa kula bwasi maana kiuchumi naona bado anasimamia mguu mmoja!
Mkuu, usinikumbushe hesabu za nusu kipenyo. Nilikuwa sizipendi balaa na nilikuwa naoga viboko karibu kila siku....Nye! Nusu x kipenyo x kimo[emoji14] [emoji14]
Ni original hii mkuu. Na ni mtu mzima sasa. Miaka 50+. Sema tu mazoezi sana na kutingisha...Hiki kitu cha Guangzhou kabisa! Kibamia hapa hakina chake maskini.
Nani alikwambia ukague simu ya mumeo?
![]()
"Exactly alike" ni ngumu sana hapa duniani. Ile tu kuwa na seli tofauti tofauti tayari inawafanya wawe tofauti.Image result for does identical twins have the same dna
Because the individuals originate from a single combination of egg and sperm, they share the same DNA. ... Since monozygotic twins originate from the same egg/sperm combination, they have the same DNA. However, although they share the same genetic characteristics, identical twins are not necessarily exactly alike.
"Exactly alike" ni ngumu sana hapa duniani. Ile tu kuwa na seli tofauti tofauti tayari inawafanya wawe tofauti.
Ndio maana hata Masai alishangaa baada ya mkate kunywea mbele ya chai! " Erooo Mkate memeswa na chai!"Ni original hii mkuu. Na ni mtu mzima sasa. Miaka 50+. Sema tu mazoezi sana na kutingisha...
Wenyewe wanasemaga hakuna mkate usiolika mbele ya chai !!!
Ina maana kweli hakuna watu wawili wenye finger prints zinazofanana hapa duniani?Cha kushangaza ni kwamba, fingerprints zao hazifanani; amazing stuff!