Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji123] [emoji123] [emoji123]
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]

*A river cuts through rock, not because if it power, but because of its persistence...*

*Never Give Up*

[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
 

[emoji848][emoji848][emoji123]
 
Hakuna atakae kuelewa hata ujieleze vipi.Zaidi ya wiki sikuwepo,nimekuta mgogoro mkubwa wa u-mate.Hakika ndio ulio palekea kuvunjika kwa ndoa kutokana na madedikesheni kuzidi.
Leo hii nalaumiwa mimi ? Jamaniii!!!
 
Jamaniiiiii !!!
Mke wangu alifanya nini jamani?
Na ulipotaka kuhamia mbona tena akabadili gia angani? Au mlikuwa mnatuchezea akili tu? Was this a game?
Acha kubadilisha muelekeo,jakitoo izi resiponsibo na hili suala.
Mimi nilisimamia kwenye mkataba wa picha iking'olewa ukutani najitwalia mke.Na ndio nilipokuwa nimesimamia kwenye makubaliano ya awali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…