Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mmetuchezea akili sana nyinyi...Hakuna atakae kuelewa hata ujieleze vipi.Zaidi ya wiki sikuwepo,nimekuta mgogoro mkubwa wa u-mate.Hakika ndio ulio palekea kuvunjika kwa ndoa kutokana na madedikesheni kuzidi.
Leo hii nalaumiwa mimi ? Jamaniii!!!
Hakuna ukakasi mkuu. Kile unachokiwaza ingekuwa "amefiriwa".Eti "Tumezungumza na katibu wa yanga juu ya wachezaji wa Zanzibar ila kasema kocha hayupo, amefiliwa na ndugu yake" kiswahili cha Zanzibar kina ukakasi sana.
Kazania hapo kwenye kunenepa. Mpaka limsambw...lifumuke !!!Kwema shem kipenzi
Maisha mazuri tu nakula bata hadi kuku zaona wivu na nimeanza kunenepa[emoji23] [emoji23] [emoji23]