Magonjwa mengi huweza kuzuilika kwa njia ya kudumisha usafi: kunawa mikono kwa sabuni na maji (au kwa kitu kingine kinachoondosha uchafu kama vile majivu na maji) baada ya kutoka chooni au kumfuta mtoto aliyejisaidia kwa karatasi au kitambaa safi na laini, kutupa kinyesi chooni, au mbali na maeneo ya michezo, maeneo ya kukaa,