carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Chaaa!naogopa kupofuka macho mie halafu naona aibu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nitakualika siku moja twende kwenye nude beach ukaoshe macho [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Ni kiherehere tu kwa kweli. We unaona linyoka linakuongelesha kwa nini ukae na kusikiliza? Kuhadaiwa hadaiwa tu mpaka leo hii hali haijabadilika sana. Ukimwambia Eva ukweli hutasikilizwa lakini ukichomekea chomekea na viuwongo basi unaona anaanza kubadilisha mapozi...Ajabu sana shemeji...Mazingira yoooote yaani namaanisha yote[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eti ni kiherehere Shimba umenichekwsha kwa nguvu ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Maisha yalisha nifundisha sema ukiwa na moyo wa kusaidia unao tu haijalishi ni wangapi wamekuumiza,mwisho wa siku unawasamehe na kuwaombea unaendelea na maisha mengine
Ajabu kwakweli....Ni kiherehere tu kwa kweli. We unaona linyoka linakuongelesha kwa nini ukae na kusikiliza? Kuhadaiwa hadaiwa tu mpaka leo hii hali haijabadilika sana. Ukimwambia Eva ukweli hutasikilizwa lakini ukichomekea chomekea na viuwongo basi unaona anaanza kubadilisha mapozi...Ajabu sana shemeji...
Ukishapata pesa niite nije kukusaidia kutumia[emoji125] [emoji125] [emoji125]