swadakta...Mida ya mchana kwenda alasiri
Ni ya Zaidi ya ukweli!
Babu kikongwe bado tu hajaacha utemi, dah.Alisafiri hadi kwenye ikulu kutoka makao yake ya kibinafsi ambako amekuwa akizuiliwa na jeshi.
Wamefanya heshma kubwa sana kwa babu.Mi nasubirisha makwotesheni yake mapya baada ya sekeseke hili...
[emoji117][emoji117][emoji117]Nimewapenda majenerali wa jeshi walivyomheshimu. Hakukuwa na haja ya kumfurusha na hata kumuua. Wamefanya jambo la kibinadamu sana!!!