Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mcqueen.jpg
 
Sekta yetu ya afya bado iko na changamoto nyingi sana hasa kuhusu huduma za mama na mtoto,vifo vya watoto chini ya miaka 5 bado changamoto,vifo vya wamama wajawazito vyaongezeka,vipaombele vyetu ni kujenga flyovers na uwanja wa ndege wakati wagonjwa wanakufa kwa kukosa vifaa tiba so sad![emoji116] [emoji116] [emoji116]
Vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya wakati vyaongezeka Tanzania, mfumo imara wa kitaasisi kuwaokoa
Kipaumbele kwa sasa ni Bombardier vinginevyo vyote ni mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom