mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hivi dada yake alishaolewa kweliWanakulana denda mbele ya waalikwa.
![]()
Hivi dada yake alishaolewa kweliWanakulana denda mbele ya waalikwa.
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mchungaji karuhusu yummy
Kichwa kapotea kabisaKichwa Kichafu kujaaa aseno anawatandika huku
Naona mizimu mizimu tu
Alihama Man UOh! Kumbe hii ndiyo timu ya Kichwa Kichafu! nilikuwa silijui hili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Baada ya kuona man u anakula vichapo mfululizo akakimbilia spurs
Dr shika habari ya mjiniDar es Salaam. Dk Louis Shika, ambaye alijizolea umaarufu baada ya kushinda zabuni ya kununua nyumba tatu za kifahari kwa takriban Sh3 bilioni lakini akashindwa kulipa asilimia 25 ya fedha hizo, amedai ameanza mchakato wa kurejesha fedha zake zilizo nje ya nchi.
Wasije kuwa wanamtapeliDk Shika amedai leo Jumamosi Novemba 18,2017 kuwa amelipa dola 100 za Kimarekani (sawa na Sh220,000 za Kitanzania) kwa ajili ya bima ili aweze kutumiwa fedha zake nchini.
YapWeekend inaendelea
Mwendo wa kula Kuku sio bataWeekend inaendelea
AMUN RA16:53
Mhhhh ataweza kweli
Nitamuongezea nyingine
HakunaNani kama mama?
![]()
UpendoAmani
Hatari sanaDr. mtata....