mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Malizia mkuuAnafanana kabisa na.....[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
![]()
Malizia mkuuAnafanana kabisa na.....[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
![]()
AMUN RANimewahi kuulizwa hili swali mara nyingi sana. Kila siku unaonekana una furaha ni kipi hicho kinachokupa furaha kiasi hicho? Kuwa na furaha katika maisha yetu ni kitu muhimu sana kila siku iendayo kwa Mungu Mkuu
Wapi venus
Kweli mkuu yaani wao ni full kulalamikaAmen mkuu. Kuna watu 24/7 wamenuna na kazi yao kuu ni kulalamika tu eti maisha hayawaendei vyema. Utadhani kuna mtu ambaye maisha yake yanamwendea vyema anavyotaka yawe. Kumbe utashangaa hata Bill Gates anaweza kukwambia kwamba maisha yake hayamwendei vyema. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Weekend ikiwepo EPL bomba sanaShukrani Mkuu nasubiri Leicester na MANC. Sisi wapenda michezo/kandanda siku kama ya leo ni bomba sana.
Wivu huoooKipofu kaona mwezi jana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwili wake ni wa kimazoezi hasa kuwa number one muda mrefu si mchezo lazima ufanyie Kazi dada yake naona katoka kwenye gameHuyu mzungu naona kaamua kweli kweli duh! Mapenzi matamu ukipenda na kupendwa pia. Inafurahisha kumwona huyu dada akiwa na furaha. Ana haters wengi huko mitandaoni mpaka wanamwita jikedume kwa jinsi alivyo. Mungu Ambariki [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hivi dada yake alishaolewa kweli
Liverpool Liverpool Liverpool
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wenger amekuwa jiniaziJiniazi Wenga huyoooo....
HahahahahaAna mpango wa kuwa Mugabe wa Arsenal for life
Naona wataliano katika ubora waoKikosi Hatari
![]()
AMUN RAMara nyingine kutokana na udhaifu wetu wana adam hudhani wale wenye mapesa mengi ma mali nyingi kuwa wao wana maisha bora sana.
Naamini mara nyingi zaidi huwa tunajidanganya, kwa kuwa wao nao wana matatizo yao kwa level yao, hili tunalisahau.
Tumshkur na kumwomba mola kwa kila jambo huku tukifanya jitihada kwa bidii na maarifa.
Salama mtanzaniaHabari za asbh Watanzania
Weka picha ya huyu Mrembo wa kenyaKenya imefanikiwa kuingia Top 5 Miss World 2017. 1. England 2. France 3. India 4. Kenya 5. Mexico
PoliticsYes. He raised the bar too high. Now it has been pushed down too low. Ni vurugu tupu !!!
Mkuu niajeSema mzee wa liver
Salama kabisa uniqHABARI WAKUU WOTEE