Hee hapa hata kusema pole nashindwa huo umaridadi upi sasa?Mimi na mshukuru Mungu, sio mzima ili nimewekewa umaridadi
Hahahhaaha. Upo fastaHee hapa hata kusema pole nashindwa huo umaridadi upi sasa?
Poa kabisa mkuu ukiweka Na ushindi wa Jana burudani kabisaPoa Mkuu vipi jumapili kwako ipoje
Naendelea vizuri tuu cole[emoji4] [emoji4]Niko powa Best viph wewe ni michakato ya hapa na pale Tu
Unaendeleaje
COLEWORLDLOVESYOU
LimbwataIla mugabe alizid atahongaje nchi!!
Pamoja mkuuMzee wa Liver umetisha sana., kama kusoma hawajui hata Picha pia???
Hahahha kwenye ubuyu haraka muhimuHahahhaaha. Upo fasta
Ndio nini?Limbwata