5.Switzerland
Siri ya nchi hii kuwa na fuaraha na jamii yenye afya ni mamlaka za nchi hiyo kuweka nguvu zaidi katika kuwapa watu wake elimu bora, huduma bora za afya na kuwaajiri sana watu wake.
6.Japan
Ni nchi ya watu waliostaharabika sana na ina miundo mizuri ya usafirishaji.Wajapan wanafanya kazi sana ila wametengeneza nchi yao na kuwa na amani na iliyoendelea sana kiteknolojia
10.Norway
Norway ni miongoni mwa nchi zenye usalama, idadi ya wafungwa katika nchi hiyo ni ndogo. Pia ni nchi inafanya vizuri katika maswala ya afya na furaha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.