[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Asante sana I real appreciate you friend..
COLEWORLDLOVESYOU
Na kwako piah natumaini inaenda vyema[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji11] [emoji11]
Uwe na Jumapili njema
Iko poaa kabisa coleNa kwako piah natumaini inaenda vyema
COLEWORLDLOVESYOU
Hahahahahqhqh kwani mnaowa pethaa?...Mkuu, unajua pesa alizonazo? Hata angesema wanaume wanaotaka kumuoa wapange mstari, huo mstari usingekuwa na mwisho !!!
Natamani kuishi hapo1.Iceland
Uharifu ni kama hamna kabisa katika nchi hii,(1.8 per 100,000) ni nchi yenye watu walioelimika
Kwetu hapa ni ufisadi kwenda mbeleKodi zao zipo juu lakini fedha wanazotoa zinatumika kweli kwa ajili ya matumizi sahihi na kwa utaratibu mzuri.
Lete ubuyuNchi 10 Afrika zenye wanawake wazuri zaidi
Sawa kabisa nawakubali sana wanawake wa kinywarwanda2. Rwanda
Ndio kila sehemu duniani ina wanawake wazuri ila wanawake wa Rwanda wapo class za juu zaidi
Tanzania mhhhh7. Tanzania
Aliwai kuwa miss Tanzania