Wana ushirikiano mzuri na wafanyakazi katika aina yeyote ile ya biashara.
Kama una mpenzi mwenye alama M katika kiganja chake,basi yakupasa kujua yupo makini katika uhusiano wenu.Hakuna utani,hakuna uongo na hakuna udanganyifu.
Watu wenye herufi M katika viganja vyao, wana uwezo mkubwa wa kufanya mabadiliko katika maisha yao na daima utumia vizuri fursa wanazozipata katika maisha yao.
Nadhani kila mtu anajua utumiaji wa vinywaji vyenye sukari ni hatari kwa afya yako, ila bado watu wengi wa hapa Africa Mashariki wanatumia sana vinywaji hivi.
Soda na Osteoporis
Kinywaji cha soda kina phosphoric acid na caffeine. Kutokana na utafiti uliofanywa na Framingham
Osteoposis mwaka 2006 kwa wanaume na wanawake 2500
uligundua ya kuwa unywaji wa cola wa kila siku utapunguza BMD katika hips za mwanamke, na pia utafiti mwingine umegundua kwamba jambo hili linahusishwa na kuongezeka kwa phosphorus ambayo itazuia unyonywaji wa calcium.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.