Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mzima kabisa habari ya kupoteaCarba mwenye TV ya chogo mzima
Nipo mama, mambo mengi tuuMzima kabisa habari ya kupotea
Jumapili ipo poa tuuAhsantee sana Kaka yangu, Habari ya Jumapili?
Hahahhahah. Wabongo kwa kupenda ubuyuHahahha kwenye ubuyu haraka muhimu
Ndo maisha hayo kikubwa uzimaNipo mama, mambo mengi tuu
Yani hapa ninafuraha haswaPoa kabisa mkuu ukiweka Na ushindi wa Jana burudani kabisa
Kweli kabisaNdo maisha hayo kikubwa uzima
Aisee so sad
Pamoja mkuu mpe hi babe sYani hapa ninafuraha haswa
ZimefikaPamoja mkuu mpe hi babe s
Jamaa wana akili sana jeshi wako makini hawataki kuonekana ni mapinduzi ya kijeshiBREAKING:
Mugabe dismissed as party leader as Zanu-PF votes to oust 93-year-old.
Mkuu, mi sikusema hivyo. Mimi nilisema nakuja peke yangu unionyeshe mji wa Tanga na viunga vyake. Jakitoo wala hapaswi kujua kama hii safari ipo ama la!Jakitooooo, Dada yangu, Shimba ya Buyenze amesema mnakuja Tanga kuniona, karibuni.
Nikishindwa kuondoka nitajenga karibu na hapo kwako tuwe majirani....Njoo ukishindwa kuondoka usije ukaanza kuni lilia