Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani siku hizi ukizaa mtoto wa kiume ni wakumwombea tu kwakweli maana....
 
Babe mzuri ni yule anayekuja kukuambia kuwa nimepungukiwa kiasi fulani. Babe mpambanaji, siyo yule anayekuja kukuletea bill nzima! [emoji23][emoji23]
Hizo type za "babe mpambanaji" Tumebaki wawili tu duniani[emoji23] [emoji23] [emoji23] na wote ni taken[emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
SYB waitwa huku[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Yaani siku hizi ukizaa mtoto wa kiume ni wakumwombea tu kwakweli maana....
Ni kweli. Wajanja wakimgusa gusa huko boarding school basi ndo umepata hasara ya maisha japo wengine wanaweza kujificha wakaoa na kuwa na familia huku wanafanya hayo mambo kwa siri. Ila akienda full throttle akabadilisha na mienendo, sauti na mwonekano wa mwili 24/7 kadoda anajishaua aisee ni aibu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…