Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Wakome aah mashoga wana jeuri hasa wakikamata kigogo mume wa mtuNaona kuna watu(wateja wake)presha zinapanda na kushuka,stress level 100
Wakome aah mashoga wana jeuri hasa wakikamata kigogo mume wa mtuNaona kuna watu(wateja wake)presha zinapanda na kushuka,stress level 100
Ohoooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Sababu unaijua. Kumbuka pale mwanzoni kabisaaaaaaaa !!!
Hatari...Ni kweli. Wajanja wakimgusa gusa huko boarding school basi ndo umepata hasara ya maisha japo wengine wanaweza kujificha wakaoa na kuwa na familia huku wanafanya hayo mambo kwa siri. Ila akienda full throttle akabadilisha na mienendo, sauti na mwonekano wa mwili 24/7 kadoda anajishaua aisee ni aibu sana.
Hata Mugabe akienda hakuna lolote litakalobadilika. Arab Spring watu walipoteza maisha leo hali ni mbaya zaidi kuliko pale mwanzoni. Na cha ajabu zaidi demokrasia yenyewe kama mfumo inalegalega duniani kote kuanzia Marekani, Ulaya na kwingineko...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "jirani"anapewa sifaJirani mkarimu....
Jirani mwema...
Jirani ana roho nzuri..
Lazima tumpende
Wema wako unanifanya nisikusahau...kwahiyo wewe sio jirani tu Bali ni ndugu[emoji445][emoji445][emoji445]Ninampango wa kuhamia mtaa wa saba walah[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kilichobaki ni kuoambana na hali zenu tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ooh well, basi usingle forever unatuhusu! Kama hao wawili wameshakuwa off the market! [emoji23][emoji23]
Nadhan akiondoka vikwazo vingi vitaondolewa dhidi ya zimbabwe na kupanda kwa thaman ya pesa. Mugabe hajaifanyia mema nchi yake kwa siku za hivi karibun bora gadaff kuliko mugabeHata Mugabe akienda hakuna lolote litakalobadilika. Arab Spring watu walipoteza maisha leo hali ni mbaya zaidi kuliko pale mwanzoni. Na cha ajabu zaidi demokrasia yenyewe kama mfumo inalegalega duniani kote kuanzia Marekani, Ulaya na kwingineko...