[emoji23][emoji23]Jiraniiiiii[emoji23] [emoji23]
Karibu huku kwetu Mbagala kwenye makelele.Ninampango wa kuhamia mtaa wa saba walah[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji818] [emoji818] [emoji817] [emoji817] [emoji817] sema siku hizi wengi wetu tumekuwa wabinafsi sana hatuwezi saidia bila kujua ni nini tutapata in returnNa hapa siyo material things. Hata tabasamu tu na maneno ya kutia moyo yanatosha. Mungu Atusaidie tukawe na ujasiri wa moyo na roho kusaidia wenzetu hasa wale ambao hatutegemei cho chote kutoka kwao. Hapo ndipo upendo wetu wa kweli huchanuza zaidi na ridhiko la kweli hutufikia...
![]()
Na msaada wa aina huyo hauna mibaraka yo yote. Hiyo ni show off tu[emoji818] [emoji818] [emoji817] [emoji817] [emoji817] sema siku hizi wengi wetu tumekuwa wabinafsi sana hatuwezi saidia bila kujua ni nini tutapata in return
Ndo maisha tunayoishi siku...Na msaada wa aina huyo hauna mibaraka yo yote. Hiyo ni show off tu