carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Na hii tabia ya wazazi kupeleka watoto wakiwa wadogo boarding schools nayo ni chanzo kwakweliNi kweli. Wajanja wakimgusa gusa huko boarding school basi ndo umepata hasara ya maisha japo wengine wanaweza kujificha wakaoa na kuwa na familia huku wanafanya hayo mambo kwa siri. Ila akienda full throttle akabadilisha na mienendo, sauti na mwonekano wa mwili 24/7 kadoda anajishaua aisee ni aibu sana.